Maisha ya Gheto Bana...

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna hyo siku niliunga dagaa asee nilipika ugali wa unga nusu na robo nikasema nitakula kidogo mchana mwingine usiku picha linaanza na kuisha niliula ugali wote mchana...
Hahahah!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afu usiku ukahesabu bati hakukuchi
 
Vyombo vinanuka balaa baada ya week 2 bila kuoshwa
 
Kufanya usafi Hadi aje mgeni siku hiyo (napo awe jinsia tofauti)
 
Daaah na leo nipo geto tangu asubuhi mpaka sasa.Menu nimefuata kwa mama ntilie maana kupika ni mtihani
 
Da nimekumbuka mbali sana.. geto lilikua uyole Mbeya blanketi sifui hadi msimu wa joto uanzee.. kulala nalala sa 11 alfajil nkitoka city pub kuwaka. Nikipika basi mboga yangu kubwa ni samaki vibua na kupika ni J mosi kama demu wangu anakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…