jamani wana jamvi naomba kujuzwa maisha yapi na ghali kati ya kuishi gheto na kuishi hostel. Tangu nimeanza kusoma sijawahi soma shule za binafsi i usualy study government schools so utanielewa naishi maisha gani!! Naombeni ufafanuzi hasa kwa chuo cha IFM
Kama kuna hostel kaa hostel maisha ya dar bei ya chumba unaijua bado uchangie umeme,maji. Labda utafute wenzio km 2 hv then mpange.we unadhan ud wanavyobebana huwa wanapenda?mtaan km huna pesa sio kuzur mwana.
Kama kuna mtu anafahamu kuhusu chuo cha Institute of Tax Administratio Dar (ITA ) anisaidie bse cjui kama kuna hostel au vp.na cjui kipo sehemu gan ya Dar.
Kama kuna mtu anafahamu kuhusu chuo cha Institute of Tax Administratio Dar (ITA ) anisaidie bse cjui kama kuna hostel au vp.na cjui kipo sehemu gan ya Dar.