TWALICIOUS
Member
- May 26, 2011
- 42
- 0
Unamaana kwamba waliokosa ni walio feliiiii au.....? mbona kuna wanafunzi walio na div one nzurisana na wamenyimwa afu vilaza walio pata div 3 zakuchechemea wamepataKama uli fail sie twahusika vipi.
OTIS.
Unamaana kwamba waliokosa ni walio feliiiii au.....? mbona kuna wanafunzi walio na div one nzurisana na wamenyimwa afu vilaza walio pata div 3 zakuchechemea wamepata
Kama uli fail sie twahusika vipi.
OTIS.
Naona unautetea ukilaza! Hata usome chini ya mwembe, kama wewe ni kichwa utafaulu tu!Usipende kuangalia matokeo angalia upatikanaji wake,mfano sio kila mwenye div 3 ya kuchechemea ni kilaza by the way kilaza ni wewe ulie pata div 1 kali halafu bodi(heslb) wamekutosa mkopo,na unadhihilisha ukilaza wako kwa sababu mpaka sasa hamjui kitu kilicho sababisha mpigwe chini,wewe umesoma majengo umepata div 1 mimi nimesoma kisiju sekondari nimepata div 3.16 hivi hapa nani kichwa? Kwa mazingira ya hii shule wewe ukiwekwa wa majengo utachezea div 0 na sio kingine,Naona sasa umepata mwanga kwanini umenyimwa mkopo na div 1 yako kali.WANAANGALIA UMESOMA SHULE YENYE UBORA KIASI GANI,MAMBO KAMA UYATIMA NA MWISHO MWAKA HUU HAWAJAANGALIA HABARI YA COURSE ZOTE NI SAWA except fani za afya ndio wamepata vipaumbele.
Naona unautetea ukilaza! Hata usome chini ya mwembe, kama wewe ni kichwa utafaulu tu!
Naona unautetea ukilaza! Hata usome chini ya mwembe, kama wewe ni kichwa utafaulu tu!
Unazidi tu kuonyesha ukilaza wako!nilikua sijui kama humu JF kuna wagonjwa wa akili kumbe wamo.
Ila usijali mwarubaini wa tatizo lako umepatikana,ukitaka kufaulu mitihani lazima awali ya yote ziwepo facilities kama vitabu(mostly vya past paperz),kalamu,vifaa vya mahabara,viti+meza,mwanga wa kutosha(taa kwa ajiri ya kutoboa),sasa huyu wa chini ya mwembe hana halafu wa kishua anavyo,mwisho wa siku unawaingiza katika pambano moja(NECTA) bila kujali maandalizi yalikuwa vipi,hivi kwa mwenye akili anakubaliana na hili? Mimi binafsi sikusoma katika mazingira hayo magumu lakini hao watu tumeishi nao na sio vizuri kuwapa hayo majina hawastaili kuitwa hivyo,ila kama kilaza muite alie soma feza boys halafu akapata div 3,ila kabla hujamuita angalia records zake inaweza ikawa ni bahati mbaya tu kufeli lakini anajua vitu.
Unamaana kwamba waliokosa ni walio feliiiii au.....? mbona kuna wanafunzi walio na div one nzurisana na wamenyimwa afu vilaza walio pata div 3 zakuchechemea wamepata
Unazidi tu kuonyesha ukilaza wako!
1. Unasoma kwa kutumia past. peparz..hii inamaanisha kuwa unasoma ili kufaulu mtihani na wala si kuelewa.
2. Taa kwa ajili ya kutoboa. Watu wenye akili zao huwa watoboi. Hawana elimu za kuzima moto. Muda wa mchana unatosha kabisa kushika kile ulichofundishwa.
3. Kufeli kwa bahati mbaya. Hamnaga bahati mbaya when it comes to exams! Kama hujui hujui tu.