Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
Rudi nyumbani mwayaWakubwa shikamoon
Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.
Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Siwezi hata siku mojakwa staili hii utajiuza tu ni swala la muda
Nipo nyumbaniRudi nyumbani mwaya
Km unafanya kazi mkoa ambao ni kwenu kwann ukapange mtt wa kike?
RUdi home save hiyo hela
Siniombee mabaya bwanaaHao unaorudi kwao,ipo siku hawatakuwepo!!
Huo mwili utakuwa sokoni soon.
Napambana lakiniVimba acha uvivu mwanamke n chuma sio kwa wanaume wa dsm wanauza jicho la usalama
Mimi si mkubwa kihiivyoLabda uniambie umri , ila kama bado kijana ni kawaida tu
AsanteKubababake kuteseka siyo sifa kweli. Yesu mwenyewe alirudi kwa baba yake
Nimechagua unafuu wa kurudi nyumbaniThe joke is on you, ukirudi kwa wazazi utateseka, ukiolewa uhudumiwe utateseka, ukisema ujiajiri utateseka pia π€£
Kifupi mateso ni kifurushi cha kudumu chagua yenye unafuu kidogo baaaaasi!
Uko tayari kuolewa boss?Wakubwa shikamoon
Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.
Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Mkuu vingine haviuziki tena, muda ulishapita ππkwa staili hii utajiuza tu ni swala la muda
Unataka kunioaUko tayari kuolewa boss?
π π Watoto wa kike siku hizi kama wanavuta mambo yasio eleweka...Muwe na heshima na wanaume. Unakuwa na mume anakufanyia yote hayo halafu humuheshimu