Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
-
- #41
Acha kwanza kipindi kigumu kipiteAkili ndio itakukaa vizuri ukijitegemea. Maana ukizoea kua tegemezi ni mbaya hata kwenye familia yako baadae. Maisha yana kupanda na kushuka, inaye mtegemea siku akipata changamoto itakuaje?
Usikate tamaaWakubwa shikamoon
Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.
Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
kuna watu humu wametuma maombi ya kutafuta wake kwanini usijitokezeBaba najua lazima niwe mwenyewe ila kwasasa Acha kwanza
Si useme ni wewekuna watu humu wametuma maombi ya kutafuta wake kwanini usijitokeze
Kuolewa ni jambo zuri lakini siyo ajira ,ni makubalianokuna watu humu wametuma maombi ya kutafuta wake kwanini usijitokeze
Wapii
Huyu nae ana matukio yake humu, usije ndo ukawa umeniandalia awe Mke wangu 😎
Acheni kukuza mambo bwana, nani hawaheshimu?Muwe na heshima na wanaume. Unakuwa na mume anakufanyia yote hayo halafu humuheshimu
Kwamba tayar umeuza mwili wako vyakutosha na sasa umeamua kuupumzisha 🙆Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Waza Kwa kujifarijiKwamba tayar umeuza mwili wako vyakutosha na sasa umeamua kuupumzisha 🙆
Heshima ipo jamanAcheni kukuza mambo bwana, nani hawaheshimu?
Hivyooo!pambana ndio ukubwa huo mtoto wa kike mwiko kulialia
Unaanza kuchagua sasa aaah😏Huyu nae ana matukio yake humu, usije ndo ukawa umeniandalia awe Mke wangu 😎
Usikate tamaa, usirudi nyuma. Kwenye changamoto ndio kwenye mafanikio epuka comfort zoneWakubwa shikamoon
Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.
Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Mm mdogo ako bhana, tafuta hata mwenye afadhali sio wale rejectedUnaanza kuchagua sasa aaah😏