Kipenzi kwani kasema huyo mume anaye sasa.Muwe na heshima na wanaume. Unakuwa na mume anakufanyia yote hayo halafu humuheshimu
Hongera.Kila kitu huanza na nia
Ukiweka nia hakutakuwa na kukata tamaa kwenye kuipambania na kuitimiza ndoto yako
Wale tuliozaliwa zamani vijijini, tulipewa elimu ya kujitegemea tangu tukiwa jandoni ili kuwa Baba bora kwenye familia tutakazozianzisha....baada ya hapo ni kupambana kwa kila hatua
Binafsi nilianza kujitegemea mara baada ya kuhitimu kidato cha sita, kwa kuanza kupiga temporary works huku nalima na kununua mazao kwa Wakulima
Hadi naanza first year Chuo Kikuu, tayari nikawa nina biashara ya kulipa kodi Serikalini
Wakati wenzetu wanalia ukata boom linapokata/kuchelewa kwangu ikawa ni tofauti kabisa
Ukiwa na mind set ya hivi, huwezi kukwama...hata tukipoteza mitaji huwa tunajipanga na kurudi tena barabarani
nimefarijika sana mama yoyooo kuniita hivo.Asante babayoyoo
Shukrani Mkuu, tuanze kuwalea watoto wetu kuweza kujitegemea wangali wadogo.Hongera.
Asante Kwa ushaurWanawake hawajaumbiwa MATESO ,acha kujitesa.
Jipende ,Jiheshimu utapata mtu sahisi ambaye atakujali kwa kukupa "TAKO LA NYANI" au ANACONDA uendee nayo kazini na kusort baadhi ya BILLS muhimu.
ππUsjalnimefarijika sana mama yoyooo kuniita hivo.
Stress za kuwa single naona zmenitoka automatic.
hapana sio tafsir mbaya, kuolewa ni heshma kwa mwanamke ndan ya jamii.Hakuna namna nyingine ya kuweza kutoka kwenye maisha magumu zaidi ya kuolewa,kwann mtoto wa kike atafsiriwe vibaya siku zote
ahsante mama yoyoo, nmepata wakunifarijiUsjal
hzo mbinu za mabaharia Marry Diana usije ukaingia nyavun mama yoyoo wanguNjoo nikupe pesa ya kodi ya mwaka sitahitaji malipo yoyote
Hakika.Shukrani Mkuu, tuanze kuwalea watoto wetu kuweza kujitegemea wangali wadogo.
Tanzania ya miaka 20 iliyopita sio ya sasa
Hujambo lakini π
Kwamba anafanya charity kuwaza hiyo welfare yangu?Mkiambiwa muwaheshimu wanaume mnakuwa wabishi, kuna mtu ameamka asubuhi, anakuwazia wewe na welfare yako, huyu mtu na aheshimiwe sana.
Tutimize wajibu wetu kama Wazazi/WaleziHakika.
Umekuwa adimu siku hiziMi Sijambo kabisa.
kua maskini au tajiri Tanzania ni uamuzi binafsi tu.Wakubwa shikamoon
Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.
Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Mie nimejaa tele kama pishi la mchele. π€ͺ.Tutimize wajibu wetu kama Wazazi/Walezi
Umekuwa adimu siku hizi
Cheers π₯
Umekuwa adimu hadi kufanya wazee tupite redio Tanzania kuweka tangazo kukutafuta πMie nimejaa tele kama pishi la mchele. π€ͺ.
Usitake kuniamrisha kuvua hili koti wakati unajua koti la babu lina chawa π#Hivi ndo wanasemaga duniani wawili wawili eeh. Naomba usiniulize kwanini. π
Kuna mtandao ukiingia unakutana na binti wa kitanzania mwenye urembo wa asili, lakini anajiuza kwa bei chee. Unabaki kujiuliza nini kinapelekea hadi binti kama huyu anafikia hatua ya kujiuza.Wakubwa shikamoon
Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.
Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Bibiye, tushauriane kwanza kabla hujafanya haya maamuzi magumu ya kurudi kijijini kushika jembe na kuishia kuzeeka kabla ya wakati wako. Hebu kuwa muwazi, bills gani zinakusumbua sana ili nikushike mkono! πWakubwa shikamoon
Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.
Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol