Oooh!!!!!Anasafisha koo sio choo
Nimependa namna ulivyo mpokea mgeni wako, angekua mwingine angejifanya hayupo Dar ili asidhalilike kutokana na mazingira anayoishiHuyu shost nilisoma nae form three na four yeye alikuwa kule ambako phyisics na chemistry ni msamiati. Shost wa ushuani lakini huko mkoani. Amekuja mjini kuchukua passport na visa anataka kupanda pipa. Amenitafuta kwnye WhatsApp anaiomba akae kwangu kwani hata mji w nyewe haujui.
Shost anashangaa maisha ya huku kwetu, mpangaji mwenzangu anasafisha koo wakati anaoga shost ananiambia cinaamtia kichefu chef up. Kama hiyo haitoshi nimemtuma mtoto akanunue vitafunio shost anashangaa eti kwanini tusinunue mkate supermarket. Haya ndiyo maisha yetu nyinyi wa ushuani.
Ukweli unakuacha huru, useme hupo Dar mara mnafingana barabarani. Anashangaa nyumba haina sink la kunawiaNimependa namna ulivyo mpokea mgeni wako, angekua mwingine angejifanya hayupo Dar ili asidhalilike kutokana na mazingira anayoishi
Sikuizi usikii kinyaa tena?kwamtogole... aisee kitambo sana, enzi izo tunakaa kijitonyama tulikua tukitaka kwenda kko bas mzee lazima ataptia njia ya kwamtogole....japo tulikua kwenye gari lakin nlikua nahisi kinyaa sana na kushangaa watu wa huko wanaishije,
Sipati picha sasa hivi pakoje.....heshima kwako chief.
Cc: Sky Eclat
Tupo mkuu na balozi wetu Diamnond ambae ni mfano halisi kuwa kuzaliwa Tandale si kufia Tandalekwamtogole... aisee kitambo sana, enzi izo tunakaa kijitonyama tulikua tukitaka kwenda kko bas mzee lazima ataptia njia ya kwamtogole....japo tulikua kwenye gari lakin nlikua nahisi kinyaa sana na kushangaa watu wa huko wanaishije,
Sipati picha sasa hivi pakoje.....heshima kwako chief.
Cc: Sky Eclat
Mlete tandale hapa karibu na kituo cha polisi ili nimtembeze tembeze maeneo ya UWANJA WA FISI,hapo kwa Mtogole mbona Oysterbay au Masaki.Kuna maeneo huwa nikipita hadi najiuliza hawa Watanzania wanaishije huku.....Huyu shost nilisoma nae form three na four yeye alikuwa kule ambako phyisics na chemistry ni msamiati. Shost wa ushuani lakini huko mkoani. Amekuja mjini kuchukua passport na visa anataka kupanda pipa. Amenitafuta kwnye WhatsApp anaiomba akae kwangu kwani hata mji w nyewe haujui.
Shost anashangaa maisha ya huku kwetu, mpangaji mwenzangu anasafisha koo wakati anaoga shost ananiambia cinaamtia kichefu chef. Kama hiyo haitoshi nimemtuma mtoto akanunue vitafunio shost anashangaa eti kwanini tusinunue mkate supermarket. Haya ndiyo maisha yetu nyinyi wa ushuani.
Mzee wenu alikuwa sahihi,alikuwa akiwaonesha upande wa pili wa maisha ya binadamu wenzenu,usidhani kwamba alishindwa kupitia makumbusho,victoria,kinondoni hadi Kariakoo, la hasha ni kutaka kuwaonesha kuna maisha nje ya Kijitonyama.kwamtogole... aisee kitambo sana, enzi izo tunakaa kijitonyama tulikua tukitaka kwenda kko bas mzee lazima ataptia njia ya kwamtogole....japo tulikua kwenye gari lakin nlikua nahisi kinyaa sana na kushangaa watu wa huko wanaishije,
Sipati picha sasa hivi pakoje.....heshima kwako chief.
Cc: Sky Eclat
Hivi uswahilini kuna miguno kweli?Nimeishi na naishi uswazi sijawah kusikia miguno, nnapotoka Tandale sokoni napitia kwa mtogole natokea Chama navuka kadaraja natokea makaburi ya kwa manjunju. Hope huko kote Sky Eclat anapafahamuUsiku leo mwambie achelewe kulala kidogo na aisikie miguno ya kimahaba ya majirani-nyumba hazina ceiling board