Maisha ya Marekani na umiliki wa silaha

Maisha ya Marekani na umiliki wa silaha

PathwayzZote

Member
Joined
Jul 4, 2024
Posts
65
Reaction score
85
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Kwa waliopo marekani mkuje mtujuze haya.

1. Matumizi ya Silaha huko majuu yakoje kwasababu tunasikia Sana watu wanagongana Sana risasi Hadi sio poa yaani.

2. Je, ni halali kabisa kumiliki Silaha uko YUES

3.Tupeni majimbo ambayo wadau wanagongana Sana risasi

Kwahyo wadau mliopo YUES mtupe nondo hizo.

Natanguliza shukrani 🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom