Maisha ya Masanja akiwa shambani

Maisha yako ni kama ngalawa ambayo wewe ndio nahodha wake.....juhudi zako na umakini wako wa kupiga makasia ndivyo vinavyokuhakikishia kufika salama safari huko ulipopanga kwenda......uvivu wako na uoga wako wa kupambana na mawimbi makali ya bahari vinaweza kuifanya safari yako iwe ngumu na hatimaye kuishia njiani......
Safari yoyote ya maisha inaanza na hatua moja mbele.......

Kumbuka hakuna jambo lenye kheri linalopatikana kiurahisi....mchakato wa kuifikisha boti yako nchi kavu unataka ujasiri na uvumilivu wa kiwango cha juu sana..
 
asante kwa kunitia moyo!
 


Umenena vema sana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…