Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Masanja bhana...hapa mkwanja ulikata akaamua akapige debe stend apate hata jero!!
Wivu gani huo, khaaah!!wivu utakuua! jadili mafanikio ya sasa hata ukikumbushia haisaidii keshafanikiwaaaaa
Wewe utakuwa wapi?huyu jamaa ni billionare wa badae sema forbes hawajamuona tu, mtashuhudia hilo am telng u
Ashabeba mzigo sana ,sasa anazugia kwenye kilimo.
Ashabeba mzigo sana ,sasa anazugia kwenye kilimo.
sjui.Wewe utakuwa wapi?
Kwahiyo uchungaji ndo basi?
Na wewe ukajidanganye uvamie kilimo kikunyooshe. Mafanikio ya mwafrica yana siri nyingi.