Maisha ya Maslay Queen

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Hivi hawa maslay queen wanafahamu mbeleni maisha yapoje !

Biashara zao wote ukisikia ni kufungua duka la nguo ndo biashara hata ukimuamsha haraka kumuuliza.

Kutopitwa na wakati mfano smartphone kila mpya lazima kuwa nayo,viwanja vizuri,nguo nzuri.

Maisha yao ni ya mitandao sana na picha za kuvutia sehemu nzuri,nguo nzuri ,maeneo mazuri na vyakula vizuri.

Kuna mdada mmoja mpaka najiuliza kazi mshahara laki tatu.
•Nyumba anayopanga laki nne kwa mwezi.
•Simu iphone 12 pro max
•Usafiri IST namba D
•Sehemu utakazo mkuta kama ujaacha laki na kitu

Hawa maslay queen ndio wanamfanya ndugu yetu Diamond Platinum kupiga na kuondoka, wanaweza kukufirisi
 
slay

slā

transitive verb​

  1. To kill violently.
  2. To overwhelm, as with laughter or love.
  3. To put to death with a weapon, or by violence; hence, to kill; to put an end to; to destroy.
Hawatofautian Sana na wa2 wasiojulikana😎
 
Unateseka kutokea wapi??!!,🤣🤣acha waishi waishivyo fainali uzeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…