Maisha ya miaka hii wanaume ndio wanaongoza kuwa na tabia za kike sana

Maisha ya miaka hii wanaume ndio wanaongoza kuwa na tabia za kike sana

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Kiukweli wimbi kubwa la wanaume wa sasa sijui niseme mabadiliko ya karne au!.

Yani wanaume wamekuwa na tabia ambazo zilikuwa kwa wanawake.

Mwanaume ni bora kuwa na rafiki wa kike kuliko wa kiume.

Wanaume wamekuwa masnitch sana, husda sana, kukwamishana, wambeya kweli kweli.

Mpaka wengine wamekuwa kwenye mitandao maparody
 
HIP HOP NI MAISHA

Wataje kwa majina kama kweli unafanya HIP HOP
 
Kiukweli wimbi kubwa la wanaume wa sasa sijui niseme mabadiliko ya karne au!.

Yani wanaume wamekuwa na tabia ambazo zilikuwa kwa wanawake.

mwanaume ni bora kuwa na rafiki wa kike kuliko wa kiume.

wanaume wamekuwa masnitch sana,husda sana,kukwamishana,wambeya kweli kweli.

mpaka wengine wamekuwa kwenye mitandao maparody
Kipi kinakushangaza? Binadamu anarithi vinasaba vingi kutoka kwa mwanamke(mama yake mzazi).Au hufuatilii "bayoroji"?
 
Back
Top Bottom