Maisha ya msanii Hawa ni darasa tosha

Nadhani alichanganyikiwa.. ukizingatia na hali aliyokuwa kuwa nayo kwa kipindi hicho....sasa hivi amechora tattoo ya diamond kifuani mwake
Kipindi huyo dada anafanyanae diamond ngoma ya " nenda kamwambie" teyali diamond alishaanza kupata umaarufu baada ya diamond kutoa ngoma ya nenda kamwambie yeye ndio alikuwa hajulikani na hakuwa amefanya ngoma yoyote hapo kabla.

So alitakiwa Hawa achukulie hiyo ngoma Kama platform ya yeye kutoka kimziki kwa kufanya ngoma vingine za kwake wasanii wengi wametokea kwa njia Kama hii mfano mzuri Alikiba kwenye ile ngoma ya Abby skills " Maria" badala ya kudai kulipwa wakati hamkukubaliana kulipana angelijua Hilo sasa hivi angekuwa mbali kimziki.
 
Nakubali mkuu.
Umeongea vizuri
 
Sasa alikosea nini kusema ukweli kwamba hakulipwa? au ulitaka mwandishi akimuuliza ajibu ndio amelipwa ili ionekane hajalaumu India amekuja kupelekwa baadae
Huyo alikuwa na stress tuu za kuona Diamond amefanikiwa alaf akamuacha , hata Kama amgelipwa Kwa Pesa aliyotaka Kwa kpind hicho angepewa sh ngap na ingemfikisha wap.... Mi naamin alilipwa Ila kuona Diamond anaendelea na harakat zingine bila kumjali ndo kulikomuumiza
 
Nakubaliana na wewe πŸ’―πŸ’―πŸ’―
 
Amejifundisha nini kuhusu alipomlaumu Diamond kua hakulipwa chochote kwenye wimbo wa nitarejea kisha huyo huyo Diamond ndio akampeleka India kutibiwa?
Inawezekana kweli hakumlipa napi yale maneno pia alioyasema ya madai ndio yamemsaidia kupush ndio maana akapata msaada.
 
Dada ana sauti nzuri apambane atafute collabo na kutoa nyimbo hakika atafiika. Most of all pongezi ziende kwa diamond
 
Yupo vizuri naupenda wimbo wake ule "Nime miss kucheka" --- Nimekuwa teja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…