walikuyu
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 934
- 1,981
Jamani wakulungwa hatujambo humu! Natumai wote mko powa kabisa, jamani kuna uyu mwanadada anaitwa Lady Isa nakumbuka kuna kibao chake kimoja nilikuwa nakipenda sana kama sikosei ni tamaa iliua fisi, kiukweli nikisikiliza hii Ngoma huwa napata hisia fulani hivi.
Hivi uyu mdada kwa sasa yupo wapi na anafanya nini, embu wajuvi wa mambo njooni tushee kidogo hapa huku wakat tukivuta kamuda ka kula daku.
Hivi uyu mdada kwa sasa yupo wapi na anafanya nini, embu wajuvi wa mambo njooni tushee kidogo hapa huku wakat tukivuta kamuda ka kula daku.