Maisha ya msanii wa kikongo "Lady Isa" yupo wapi na anafanya nini kwa sasa

walikuyu

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
934
Reaction score
1,981
Jamani wakulungwa hatujambo humu! Natumai wote mko powa kabisa, jamani kuna uyu mwanadada anaitwa Lady Isa nakumbuka kuna kibao chake kimoja nilikuwa nakipenda sana kama sikosei ni tamaa iliua fisi, kiukweli nikisikiliza hii Ngoma huwa napata hisia fulani hivi.

Hivi uyu mdada kwa sasa yupo wapi na anafanya nini, embu wajuvi wa mambo njooni tushee kidogo hapa huku wakat tukivuta kamuda ka kula daku.
 
Ngoma ya Jay Dee nayoikubali ni ile amemshirikisha Mr Blue inaitwa wangu.

Anyway, naskia yupo USA ana mimba.
 
Kama ni yule aliimba “jua maisha ni mulimaeeh,kuna kupanda na kushuka eehh mtoto wa nesa” kama ni huyu mkuu sidhani kama anastahili bado kuitwa mdada.

Sasa hivi nadhani atakuwa kwenye level za ubibi au mwenzetu kiumri mkubwa sana kiasi unamuona mdada bado?kidding.
 
Jay Dee angekuwa anafanya kazi serikalini ungekuta ameshastaafu au ungekuta anang'ang'ania madaraka kama wassira 😎
 
Lady Issa nyimbo zake zilitamba sana miaka ya 80 watoto wadogo sidhani kama watakuwa wanamjua
 
Ahahahah,,, mkuu hapana mm mdogo sana kiumri ila kwa sasa ni kweli atakuwa kikongwe mana kitambo sana
 
Lady Issa nyimbo zake zilitamba sana miaka ya 80 watoto wadogo sidhani kama watakuwa wanamjua
Kwakweli tunyimbo twake tuzuri sana mkuu zimetulia sana hakuna matusi ujumbe murua kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…