Maisha ya mtaani ni magumu sn TUSOMENI

Churamagamba

Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
36
Reaction score
5
Habar bandugu? nimependa kujadiliana nanyi wanafunz kuhusu hii, inawabidi kusoma kwa bidii sn ili kufikia malengo, yaani 2lio kwenye ajira tu maisha yanabana! asa wasio na ajira je? tusomeni sn wandugu
 
maisha yanaendelea ila vipato ndo vinatofautiana.(ila elimu ni muhimu waongeze juhudi wasomaji)
 
Habar bandugu? nimependa kujadiliana nanyi wanafunz kuhusu hii, inawabidi kusoma kwa bidii sn ili kufikia malengo, yaani 2lio kwenye ajira tu maisha yanabana! asa wasio na ajira je? tusomeni sn wandugu

ushauri mzuri sana huu...
 
Ushauri mzuri sana tujitaidi kusoma tupate skills zitakazotuwezesha kupambamba na maisha haitajalisha kujiajiri au kuajiliwa all the best...!!!
 
kusoma sio chochote we shoodthnk of plan B,nna degree nalipwa laki4 unadhani ntaoboa kweli,geto elfu hamsini,breakfast lunch dinner elfu 6 kwa cku kwa mwezi 180,nauli 800,vocha jero,aiseeee serikali kwanza ipunguze makodi yao na mfumuko wa bei
 
kusoma sio chochote we shoodthnk of plan B,nna degree nalipwa laki4 unadhani ntatoboa kweli,geto elfu hamsini,breakfast lunch dinner elfu 6 kwa cku kwa mwezi 180,nauli 800,vocha jero,aiseeee serikali kwanza ipunguze makodi yao na mfumuko wa bei
 
Life isn' all about hitting the books, neither does being an academician guarantees the best out there the real world... ...

Its worthy wise to emphasize this young to invest more sweats in all what so ever they do, not specifically kusoma soma... ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…