Maisha ya Mtandaoni

Maisha ya Mtandaoni

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Yanachekesha sana.

*Wanawake wa JF wote ni wazuri
*Members wa JF wote elimu yao ni kuanzia degree.
*Kila alie Facebook yupo Dar.
*Asilimia kubwa ya wanaotumia insta wanajidai wana maduka ya Nguo.


Inashangaza sana
 
Wanawake wa jf umetuonea wapi? Kwenye avi au?

Nilitaka kuuliza hili pia,anawekaje neno wote as if kawahi kuona kila mtu anajisifu kwa uzuri humu
Hapo kwa wote kuwa na degree ni uongo kwasababu sio members wote humu wanasema wana degree
Facebook wapo watu kibao wanaandika maeneo nje na Dar
Insta kuna watu wana biashara tofauti kabisaaa na nguo

Kimsingi alichokiandika hakuna hata kimoja kinachomake sense

Aendelee tu kucheka
 
kutoa mm mkuu niko jobless, sina hela, sina demu, nmeishia form 4, sina swagga ni domo zege na hapa nimewashiwa wifi kwenye tekno p5 yangu nnayo tangu 2015 nlipewa na shemeji mme wa dada!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom