Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Ombea wafunge ndoa sio aongeze viuno bila ndoa.
hahaas sasa viuno vikiongezeka sindio vitaleta ushawishi wauwepo wa ndoa ..kwa hiyo wataka aolewe tu then ndani aende kuwa kama maiti yaani hatikisiki hata kwa bahati mbaya
 
hahaas sasa viuno vikiongezeka sindio vitaleta ushawishi wauwepo wa ndoa ..kwa hiyo wataka aolewe tu then ndani aende kuwa kama maiti yaani hatikisiki hata kwa bahati mbaya
So far mahondaw ameshaonyesha uwezo cha msingi huyo mwanaume afanye maamuz kabla hajafanyiwa mapinduzi.
 
Mi mkulima wa mtama huku Tarime nawezaje kuteka MTU?
Samahani naomba nitajie mkulima mmoja tu kwenye list ya billionaire duniani ...[emoji15]

Nina mpango wa kulima matikiti maji mwakani
 
So far mahondaw ameshaonyesha uwezo cha msingi huyo mwanaume afanye maamuz kabla hajafanyiwa mapinduzi.
hahaaa...wewe huo uwezo wa mahondaw uliuona wapi ?? mkuu (fafanua vyema afadhali)

...maana mahusiano ni zaidi ya Yale maneno yao unayoyaona humu ...kuna watu wengi wanaojielewanhuwa wana tabasamu nje kwaajili yakuitunza heshima yao lakini nyumbani huwa panawaka moto..

kwahiyo waniambia kuwa Jamaa yangu anaweza akaporwa ..I smell something here hahaaa
 
Samahani naomba nitajie mkulima mmoja tu kwenye list ya billionaire duniani ...[emoji15]

Nina mpango wa kulima matikiti maji mwakani
Unajua neno mkulima linabeba maeneo makuu mawili:-
1. Shughuli zozote ze kupanda mimea na kuvuna.

2. Shughuli zozote za kufuga wanyama kwa ajili ya mazao yao.

Kulingana na hilo naomba uende Google search utafute the most successful farmers in the world, nadhani utapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…