yap ..true maaana neno mafanikio lina mantiki pana sana..haliishi kwenye kuwa na uchumi imara tu """Kila mmoja na level yake ya mafanikio
Sasa kama mtu anafanya show off ku impress public hilo ni tatizo nadhani.hahaaa...wewe huo uwezo wa mahondaw uliuona wapi ?? mkuu (fafanua vyema afadhali)
...maana mahusiano ni zaidi ya Yale maneno yao unayoyaona humu ...kuna watu wengi wanaojielewanhuwa wana tabasamu nje kwaajili yakuitunza heshima yao lakini nyumbani huwa panawaka moto..
kwahiyo waniambia kuwa Jamaa yangu anaweza akaporwa ..I smell something here hahaaa
Nahitaji kumjua mmoja tu duniani.Unajua neno mkulima linabeba maeneo makuu mawili:-
1. Shughuli zozote ze kupanda mimea na kuvuna.
2. Shughuli zozote za kufuga wanyama kwa ajili ya mazao yao.
Kulingana na hilo naomba uende Google search utafute the most successful farmers in the world, nadhani utapata
Ndio tafsiri ya maendeleo ni pana sana. Lakini mwsho wa yote lazima kuwe na ukuaji wa kitu hicho ili tuweze kusema kuna maendeleo.yap ..true maaana neno mafanikio lina mantiki pana sana..haliishi kwenye kuwa na uchumi imara tu """
Unaonaje watu wa jf wakiwa na wilaya yao au mkoa wao.Mwanadamu hubadilika.
Nyuma ya keyboard anakuwa na pesa na cheo kizuri. Ila kitaani anakuwa kabwela tu.
Kuna wakati huwa nawaza hii forum ni kwa ajili ya watu waliofanikiwa tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] yaaniMwanadamu hubadilika.
Nyuma ya keyboard anakuwa na pesa na cheo kizuri. Ila kitaani anakuwa kabwela tu.
Kuna wakati huwa nawaza hii forum ni kwa ajili ya watu waliofanikiwa tu?
Hahaaa.....Sasa kama mtu anafanya show off kum impress public hilo ni tatizo nadhani.
Ila mahondaw naamin utendaji wake sio wa kutiliwa mashaka.
Usiulize nimejuaje[emoji3]
FreshSijatilia mkazo kumjua hata mmoja
AhahaahahaHahaaa.....
mimi nilikuwa natak kujua ulijuaje mkuu"" hiyo Tabia ya kujiwekea ulinzi kutotka kukuhoji namna ambavyo uliweza kujua haifai aiseee,..Maana naona kama hiyo kauli haina tofauti na kauli za yule mzee anayeishi jumba la Rangi ya chokaa (usinijibu hivyo wewe )
tunahitaji experience yako uliyoitumia kuweza kumjua mahondaw maana utakapo iwasilisha hapa itaweza kuwasaidia wadada wengine kiushauri ili nao waweze kuwa wawajibikaji wazuri katika mahusiano yao
hahaa
nawasilisha....
hahahaa umeona sasa WEWE UMEONGEZA NENO MAENDELEO katika msamiati wa mafanikio. (( ijapo kuwa hii ni misamiati miwili rafiki ambayo huwa inashirikaina wakati fulani.)).Ndio tafsiri ya maendeleo ni pana sana. Lakini mwsho wa yote lazima kuwe na ukuaji wa kitu hicho ili tuweze kusema kuna maendeleo.
hahaaa dadeq ..naona waruka viunzi ..haya bhanaAhahaahaha
mengine ni siri za kifamilia.
Wanasema curiousity killed the paka. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa mfano nilikuwa ninaumwa ugonjwa hatari.hahahaa umeona sasa WEWE UMEONGEZA NENO MAENDELEO katika msamiati wa mafanikio. (( ijapo kuwa hii ni misamiati miwili rafiki ambayo huwa inashirikaina wakati fulani.)).
hivyo basi mafanikio yanaweza kupewa maana ya maendeleo lakini inategemea utakuwa unazungumzia jambo lipi katika kuliwasilisha ili liweze kuleta taswira kwa watu ...kwa mfano Fulani alisafiri na safari yake ili zaa mafanikio ya kufika Salama ""
lakini hatuwezi kusema Fulani alisafiri na akapata maendeleo yakufika Salama "" sidhani kama huo msamiati utakuwa unaleta tija katika kueleweka kwa hiyo sentensi ...so Dhana ya mafanikio inaweza kuwa kwa mtu liyefanikiwa kusafiri ..aliyefanikiwa kuoa aliyefanikiwa kumaliza masomo ..aliyefanikiwa kupata watoto ..aliyefanikiwa kuzishinda changamoto ..aliyefanikiwa kiuchumi ....etc ..but msamiati wa maendeleo huu bwana huwa hautaki mbwembwe nyingi nilazime uwe unahusika na msamiati wa maendeleo ya kiuchumi ""
huwezi kusema Fulani ameendelea kwakuwa ameoa au ame fanikiwa kusafiri Salama ..huwezi kusema Fulani ameendelea eti kisa anademu mkali au ana watoto wengi ""
ila hapo hapo tunaona kuwa tunaweza kusema Fulani amefanikiwa kwakuwa na demu mkali au amefanikiwa kwa kupata watoto ....
so msamiati wa maendeleo tuuache kama ulivyo tu kwakweli ..hahaaa
na wasilisha
Tuko pamojahahaaa dadeq ..naona waruka viunzi ..haya bhana
hahaaaa hayaKwa mfano nilikuwa ninaumwa ugonjwa hatari.
Baada ikaja report kwamba maendeleo ya mgonjwa ni mazuri.
Hapo suala la uchumi linaingiaje?
Njoo hapa Magu tule viazi vitamu na maziwa(malibhoto)JamiiForums original haifiki Huko mikoani, Hicho mnachotumia Huko ni version ya mwaka 1952
Nimezaliwa 1976 nimeshafikia ujimama??Angalia chet chako cha kuzaliwa
HahahaNi
Nimezaliwa 1976 nimeshafikia ujimama??
Shikamoo dadaNi
Nimezaliwa 1976 nimeshafikia ujimama??