Lwikunulo: Bangi ni kitu cha kawaida sana ili mradi usiinuizie kwa mabaya. Wengi waliofanikiwa katika dunia hii wamevuta majani, mfano: George na Laura bush, Barak na Michel Obama, Bill Clinton, n.k. Ufisadi ni mmbaya zaidi kuliko bangi hasa ule unaofanywa na watu wakiwa macho makavu kama RA...
Mkuu Offish,
Nachelea kuigeuza topic hii kuwa ni ya madhari ya bhangi. Lakini ukweli ni kuwa wanasayansi wanatuambia hii kitu ina madhari kwenye ubongo. Unless kama unakanusha hilo...
Umewataja watu maarufu waliofanikiwa katika maisha yao kuwa walivuta au waliwahi kuvuta bhangi, lakini bahati mbaya hujui ni wangapi wasiofanikiwa katika maisha kutoka na uvutaji huo. By the way mafanikio ya hao uliowataja sidhani kama yanatokana na wao kuwahi kuvuta bhangi😕.