Maisha ya ndoa hayana tofauti na wakulima usipokuwa makini muda wowote unavuna mabua

Samico Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2022
Posts
791
Reaction score
1,852
Kama ilivyo maisha ya wakulima walivyomakini kuchagua shamba, kuandaa shamba na kujua muda sahihi wa kupanda mbegu.

Ndivyo maisha ya ndoa yatakiwa kuwa!

Siku hizi unaweza kuwatembelea watu asubuhi ukakuta wanapendana lakini jioni ukaambiwa wameachana kisa simu!

Simu imekuwa faraja kwa wanandoa kuliko ndoa yenyewe!
 
Tumetombah Sana wake za watu kwa mihemko yao ya kienyeji ss ndio tunawafariji kinafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…