Mfano unakuta unaoa kwa sabb la umri kwenda, ama imetokea sabb mimba ama shinikizo la wazazi jamaa na ndugu hapo lazima kuchokana mapema tu maana maamuzi yatayokuja ni kwa sabb ya hivyo vitu. Siku uje ukutane na ambae ndio chaguo lako lazima mifarakano ianze.