The subconscious mind attempts to process these emotions and to resolve any hidden and unconscious conflicts
Mbu hivi uliishawahi kukaa na kila unachofikiria ni NEGATIVE tu, yaani wewe kwako hata kile kidogo ulichoweza ku-achive na chenyewe unakisahau kabisa halafu Mbu hii topic unanitafuta ubaya lol!!!
...lol....wewe braza hebu fafanua bana....nilishayasoma hayo huku ; Are You Living Your Dreams or Your Night Mares? | Content for Reprint
Gaijin ndio maana nasema binadamu tungekuwa na uwezo wa kufahamu mwenzako anafikiria nini at that time sijui ingekuwajeKuna watu hawali vizuri, hawafanyi chochote hata kidogo cha kuwafurahisha wao au waliowazunguka kinachohitaji kutumia pesa (japo kidogo) wakisema wanawekeza kujengea mtoto/watoto future......
Hili nalo limekaaje?
Mhh!!! King'asti sijasikia kabisa hata kama yupo labda ni mmoja tu, hata mimi given a chance ssidhani kama nitaenda kwenye hiyo Hypnosis maana i guess it will be worse lollol! given a chance i am afraid i wont go for hypnosis. i guess i am afraid of my own demons. the nightmares i get in my conscious mind ar far much worse,lol
hivi hapa bongo kuna mahali wanafanya hypnosis? is it legal?
....umesema kweli tupu....hizi extended family hizi.....pasua kichwa kabisa!
kuna mheshimiwa mmoja majuzi alianzisha unyuzi kukemea vibaya sana michango ya harusi na aliyeianzisha...
---kizazi cha kudaiwa michango--- na usipotoa jamii inakutenga...! ---hata ukisema huna madhali jamii inaku judge kwa 'mafanikio' yako, imekula kwako hiyo!
...lol....wewe braza hebu fafanua bana....nilishayasoma hayo huku ; Are You Living Your Dreams or Your Night Mares? | Content for Reprint
Mbu
Hii "kuishi kwa watoto wetu" nadhani ni mentality ya Tanzania zaidi. Mtu ukimuuliza katika maisha yako umefanya nini kwa ajili ya furaha yako au maisha yako, atakuambia alipambana vikali ili mwanawe aende shule nzuri na maisha bora.
Nadhani inachangiwa na mfumo wa kijamii (serikali) uliopo. Kutokana na kutokuwepo kwa fursa sawa kwa watu wa matabaka yote. Bila ya shaka hata nchi za nje ukisoma Elite universities upataji kazi kwako utakuwa rahisi, lakini kwa vile kazi zipo za kutosha, wazazi hawalazimiki kuchanga pesa maisha yao yote kuhakikisha watoto wanasoma hizo elite universities.
Ukiangalia watu wanaoishi kwa ajili ya watoto wao wengi ni watu wanaotoka kwenye umaskini mkubwa, watu waliotoka tabaka la kati au la juu, wanaishi kwa ajili yao zaidi labda kutokana na kuwa wanaotoka kwenye umaskini huwa wanauogopa kiasi cha kuwa hawataki watoto wao waje wakutane nao
mwalimu,japokua mi nakubaliana kwa kiasi kuhusu kuwekeza kwenye kusomesha watoto. aisee, huku africa mwanao asipoona shule anakua mzigo kwako maisha yake yote. manake akikwama si atarudi tu? nadhani ni muhimu kwa mzazi kuhakikisha mwanae anakua na a brighter future. niliwahi kumuambia binti mmoja 'hiyo passion yako wont put food on the table. soma kwanza, utapata kazi na pa kuanzia. then u can start following ur passion kama subsidiary'. sijutii coz majuzi hapa nilimkumbusha kuhusu hiyo dream yake na naona ana opportunity za kutosha kuifanyia kazi manake elimu na kazi imemjengea network ya maana!
Gaijin bora hata hizi public schools za huku kwetu zingekuwa zinatoa elimu nzuri basi mtu usingekuwa unafikiria kujipinda na mawazo kulipa ada ya laki saba, unajua we shape our own reality in many ways, not least in the sense that some of us just let life happen and react to whatever comes our way wakati wengine they direct themselves towards particular experiencesnakubaliana na kumpatia mtoto elimu, lakini ukitizama ama system inaforce watu au watu wenyewe wanajiforce kupeleka watoto shule ambazo kimsingi hawana uwezo nazo. Mtu anaishi nyumba ya kupanga lakini mtoto anataka asome Feza au St. Marian
Ulaya, Asia hakuna kitu kama hicho. Watu wameridhika na elimu za public schools. Utakuta familia Ulaya zinaenda vacation kila winter lakini watoto wote wanasoma shule za public. Wazazi wana-enjoy maisha yao pia.
Gaijin ndio maana nasema binadamu tungekuwa na uwezo wa kufahamu mwenzako anafikiria nini at that time sijui ingekuwaje
nakubaliana na kumpatia mtoto elimu, lakini ukitizama ama system inaforce watu au watu wenyewe wanajiforce kupeleka watoto shule ambazo kimsingi hawana uwezo nazo. Mtu anaishi nyumba ya kupanga lakini mtoto anataka asome Feza au St. Marian
Ulaya, Asia hakuna kitu kama hicho. Watu wameridhika na elimu za public schools. Utakuta familia Ulaya zinaenda vacation kila winter lakini watoto wote wanasoma shule za public. Wazazi wana-enjoy maisha yao pia.
Mbu hivi uliishawahi kukaa na kila unachofikiria ni NEGATIVE tu, yaani wewe kwako hata kile kidogo ulichoweza ku-achive na chenyewe unakisahau kabisa halafu Mbu hii topic unanitafuta ubaya lol!!!
Mbu hii commercial break imenimaliza kabisa na ndio maana hata kama mtaalamu wa Hypnosis akiwepo sitodhubutu kwenda kumuona maana inakuwa ishu zaidi kama alivyosema King'asti
...lol....haya bana,..pata commercial break hapa;
You bet!...chipilini. respect kwa babu mzee mtuweta..
Are you living the dream?
Fonts zangu zinanigomea huku kariakoo shimoni..