Maisha ya Ommy Dimpoz yalivyobadilika baada ya surgery

Kwani mwenyewe alishawahi kuwaambia kwa nini alipatwa na shida ile?
Sio kila kazi au shughuli ni nzuri kwa Afya
Tuwe waangalifu na maisha yetu
Dimpoz yupo katika ile list ya Konki Master?,ile list ya wasanii bwabwaz?.
 
Kaka mambo ya kupewa RAMGE hapo yameingiaje? Au ndo kila mla cha mwenzie na chake pia huliwa?
Ni mfadhili wao na aliempeleka ommy kwa joho ni Ali kiba na ommy anapenda sana kwenda mombasa na range alipewa na joho
 
Bongo unaijua angefungwa hata koo la mbuzi
Bongo walishamsingizia ugonjwa yule Hawa wa Nitarejea wakamwambia Ini limekufa/limefeli.!

Baada ya kwenda India kaambiwa tatizo lingine kabisa
 
Oh kumbe matibabu alilipiwa na gov joho
OK.... Sema Joho anawakubali sana wabongo
Maana Kuna wakati fulani Joho alikaa bongo
Na Ana ndg zake ilala, kwa hyo Joho anajitaga mtoto wa ilala

Ova
Joho! NI bongo babake mzee Jumbe ni mtu wa Tanga
 
Yaani Bongo tunafeli wapi mpaka mtu anaenda ughaibuni wakati jambo dogo tu
Bro suggery ya kubadirisha oesophogus si mchezo. Operation ya pili ingeweza kusababisha some complications ndiomana hata hao wataalamu wa Ujerumani wamerekebisha hali bila kufanya 2nd operation. Tusiongelee kinadharia tu
 
download thl app utapata hadi za kiswahili
 
Waulize CCM wanasema Hospitali kila wilaya na hazina vifaa na wataalamu duni.

Miradi ndio wanapopiga pesa MECCO na genge lake kwahiyo watajifanya kujenga majengo kibao kwa ajili ya kula 20%...Madawa yanatengenezwa na MSD na wafanyakazi tume ya ajira hivyo hakuna pesa ya kupiga.
 
Bongo walishamsingizia ugonjwa yule Hawa wa Nitarejea wakamwambia Ini limekufa/limefeli.!

Baada ya kwenda India kaambiwa tatizo lingine kabisa
Hii ni issue serious ujue.

Je wataalamu wetu wa afya hawana utaalamu wa kutosha au wavivu wa kujishughulisha kutafuta majibu sahihi ?
 
Ingekuwa ndio masikini mwenzangu, hayo mahela ya kwenda SA na Germany tungepata wapi?. Hapo ingekuwa ni kusubiri neema za Allah tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…