Kaunara
JF-Expert Member
- Feb 4, 2013
- 249
- 452
Habari wadau!
Kwa wale wanaoishi wakifanya shughuli zao binafsi kuna haja kubwa ya kujitangaza kwa kile unachokifanya. Vijana wengi wanaogopa kujitangaza mitandaoni na kuishia kuangalia wenzio wakienda mbele.
Ujumbe huu uwe mahususi kwa vijana hasa wa mikoani mmelala sana. Hata mikoani unaweza kujitangaza kwa kile unachokifanya ukajulikana kwa shughuli yako na kupata wateja halali. Ni nadra sana kuona mitandaoni kijana wa mikoani akajitangaza kama wanavyofanya vijana wa Dar.
Kuna watu wanafanya kazi nzuri sana mtaani ila wapo kimya hawajitangazaji na kuishia kupata wateja wale wale kila siku.
Tumia mtandao kuongeza kipato na sio kuhangaika na habari zisizo na maana yeyote ile katika maisha yako.
Nawakilisha.