Maisha ya simba dume yamejaa misukosuko hakuitwa mfalme wa nyika kwa bahati mbaya

Wengi wenu hamfanyi utalii wa ndani mgeyajua mengi
 
Azam TV kuna chennel moja inaitwa NAT GEO WILD,siku za weekend kuna kipind kinaitwa "Savage Kingdom Uprising".Ukiangalia hiki kipindi utaona yote haya aliyoelezea mleta mada,Uchambuzi upo sahihi 100%.Simba wanaishi kibabe sana aisee.Huwa napenda sana hiki kipindi.
 
Uchambuzi mzuri. Maisha ya Simba dume yana reflect maisha halisi ya baadhi ya makabila
 
Asant
 
Yeah huyu ndo KING OF THE JUNGLE. Watu wengi walukuwa hawajui kwanini anaitwa hivyo, kwa thread hii imewajibu wote waliokuwa wakijiuliza kuhusu ufalme wa simba dume mbugani.
 
Mkuu naomba unipe sababu za kina kwanini simba inatokea wakimuona binadamu anawafuata kwa ujasiri wanakimbia???? mf. wale wamaasai huwa naona wanawafukuza simba
 
Ila simba mzuri buana
Ana mikwara ,ana nguvu
Team Simbaa
 
Simba ,paka mvivu kuliko wote kwenye jamii ya Felidae ,anatumia zaidi ya masaa 16 kulala tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…