Maisha ya tungi

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Ukienda bar kunywa pombe unaweza kumwona mschichana anayekudumia mbaya mbaya lakini kadiri unavyokunywa pombe anaendelea kuwa mzuri mzuri huwezi amini kuwa ndiye uliyemkuta mwanzo, unaweza kukuta unamuuliza ulikuwa muda wote.

Eti wewe ni mrembo hivi? Lakini jambo la ajabu kuliko yote pindi ukiamka asubuhi unaweza kuzimia kujikuta umelala naye.
 
Tungi noma,siku hizi tunajifariji kwamba tunaufagilia moyo wakati tunaumia!
 
Jiendekeze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…