Maisha ya Uchawa ni magumu kuliko unavyodhani

Kwenye suala la Mchengerwa na UVCCM umesimama upande gani? Kama Sulle anamtetea Mchengerwa ina maana wewe uko upande wa UVCCM. Nikisemaga wewe ni mwanaCCM mwenzetu uliyepo kimwili CHADEMA unapinga.

Sie wajibu wetu ni kuchochea kuni za kutosha kusudi moto usizime!.
 
kwanza kama una akili timamu huwezi kumtetea wala kumponda mchengerwa, ,, yaani kwamba unakaa unawaza kabisa kwamba uvccm hawa wa leo wana uwezo wa kumwongelea vibaya ama kumpinga mkwe wa rais kweli na isiwe drama kweli?
utakuwa mgeni nchi hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…