Maisha ya upangaji na vihoja vyake

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
6,814
Reaction score
10,104
Kupanga chumba au kukodi chumba sehemu ni kawaida Sana kwa wapambanaji wa hapa na pale. Katika vyumba hivi Kuna vihoja au Mambo Fulani hivi yakukera au kufurahisha, embu nianze na haya yafuatayo;

Mpangaji wa chumba cha JIRANI kuachia mziki mzito wakati huna hamu na muziki, au kuweka nyimbo ambazo huzipendi, na ukimwambia anakujibu Jenga nyumba Yako [emoji23][emoji23][emoji23] inasikitisha Sana.

Usafi, hasa wa chooni Kuna watu ni wachafu kweli wakati wa kutoa haja zao wengine wanatoa haja kubwa hata HAWANAWI MIKONO halafu anakupa salamu kwa mikono kama vile hawajui Kuna bacteria wasababishao magonjwa.

Unakuta ni wanawake wamekaa kwenye korido wamejiachia mbususu ziko nje nje hata hawajali hadi unataman upige mashine bila kujali ni shemeji Yako ama mke wa mtu.

Unapiga mashine usiku demu anakiherehere unasikia aaaghh shiiiiii uuuuuu uuuuuu uuuuuu kwa sauti hadi kijana ambaye hajaleta demu anatamani apige chabo au apige nyeto

Unapika chakula cha kawaida mwenzako kwa makusudi anakaanga kujimwambafai anazo.

Geto unalala chini mwenzako yeye ana vitu vya hatari.

Ni vihoja gani vingine umekutana navyo au unakutana navyo kwenye nyumba za kupanga?
 
Kuchambana na kugombana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuishi kwa kupanga uswahilini ni zaidi ya mafunzo ya kijeshi.Kwa sababu kama unatumia akili yako vizuri utajifunza:-
-kuishi kwa bajeti katika kila kitu chenye kuhitaji gharama,
-kula kwa kiasi,
-kuihimili tamaa,
-kuishi na jamii kulingana na hali zao kiuchumi,kitabia na mazoea yao,
-utajifunza kuongea,kuongeza misamiati mipya hadi tata na lugha mbalimbali,
-ukiwa mpole utajifunza hadi kuzozana na ikibidi kupigana kwa mbinu za ushindi tu,
-utajifunza ubishiubishi na uchonganishi,
-kuishi kiujanjaujuanja na mbinu za hakuna kulala na kadhalika wa kadhalika.
NOTA BENE:Si lazima uyapate yote kwenye upangaji.Unaweza ukawa navyo vyote ila hukuwa umepata uwanja wa kuonesha "vipaji" vyako.Ukiishi kwenye upangaji tena uswazi,tutakujua tu.
 
Kweli kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…