Maisha ya UPWEKE yamenichosha - Nahitaji Mke

😂😂😂
 
😁😁😁
Sasa mkuu, kwanini umrudishe badala ya kumtibu na yeye?
 
Bora ungebaki naye mkatibiwa wote.
 
Ngoja nikutibu mkuu,

1. Kwanza umetumia dani hadi sasa,
2. Huo usaha unatoka kwa mtindo upi??
- ukiamka asubuhi, au mda ya mchana unakuta usaha upo kichwani cha penis ??

Au
- Mpaka uminye kichwa cha penis ndo usaha utoke??
 
Kaka una vigezo vya shape ? Kuna ambaye namfahamu wa 1993 mchaga hana mtoto yuko serious sana anatafuta mtu, elimu ana diploma nadhani, yuko dar, kama uko dar nitakuunganisha nae labda mtaelewana
 
Sasa mkuu, kwanini umrudishe badala ya kumtibu na yeye?
Ata yey nmemtibu tena kwa sindano tano, hadi za kienyej dawa hazijafua dafu.
sema nmemrudisha ameniuz kusema alijua anaumwa na alijua mim haitanidhuru na aliogopa kusema akijua ntamwacha.

nikimwangalia yey anaenjoy afu mim napata maumivu asee napata hasira(wanawake wao hawanaga darir mbaya).

aniache nijitibie kwanza daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…