Maisha ya UPWEKE yamenichosha - Nahitaji Mke

Kaka una vigezo vya shape ? Kuna ambaye namfahamu wa 1993 mchaga hana mtoto yuko serious sana anatafuta mtu, elimu ana diploma nadhani, yuko dar, kama uko dar nitakuunganisha nae labda mtaelewana
Sina kigezo cha shape. Binadamu wanaumbwa na Mungu hivyo siwezi mkosoa Mungu kwa kudai shape.
 
Duhh hiyo video nimeisikiliza kwahiyo mwanaume mwenye vision kubwa ndio hana muda wa mapenzi? Kwa sababu tu anawaza pesa nyingi, Na hiyo kujipendekeza ili ufit kwenye position maana yake nini? Duhh kazi kweli.. acha tu hawo strong women wanaokuwa mayatima waje sio kazi ndogo😅 matokeo yake akiziba mtu hilo pengo unashikwa ugoni🙆🏽‍♀️
 
Pole sana mkuu.
Katika vitu ninaviogopa ni magonjwa ya huko chini.
 
Anataka partner wa biashara na sio mpenzi huyu
 
Sasa mke na bachelor degree wapi na wapi?...kwani anatafuta kazi?...kwa hiyo aje na CV.....Hutoboi wewe kwenye ndoa kwa hiyo staili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…