Maisha ya UPWEKE yamenichosha - Nahitaji Mke

Sasa mke na bachelor degree wapi na wapi?...kwani anatafuta kazi?...kwa hiyo aje na CV.....Hutoboi wewe kwenye ndoa kwa hiyo staili
wewe kama huna hiyo bachelor degree usidhani n wengine hawana kama wewe!

Wewe kama ulikimbia umande usiwasemeee wenzio , pambana na hali yako
 
Nasikitika sana wewe kuweka kigezo cha ELIMU
 
Ngoja nikutibu mkuu,

1. Kwanza umetumia dani hadi sasa,
2. Huo usaha unatoka kwa mtindo upi??
- ukiamka asubuhi, au mda ya mchana unakuta usaha upo kichwani cha penis ??

Au
- Mpaka uminye kichwa cha penis ndo usaha utoke??
1. dawa tumetumia mkuu tulipgwa sindano na dawa tukapewa(doxy, cpro na ingne jina nmesahau)
2. usaha unatoka mda wote nikiangalia kichwa cha penis upo pia bukuta nakuta imechafuka usaha.
 
Kuna kidem ni kimalaya nataka nikivute gheto nikitoe kijijin,nmesoma hii kitu nikawaza na mie yanaenda kunitokea,niliwah kukila zaman
 
Antibiotics nyingi sasa hivi zinazingua kinouma , au inawezekana una magonjwa mengi ya zinaa bila wewe kujua yanafanya ugonjwa unakuwa sugu zaidi.

Ulipima HIV lakini?
Antibayotik nying zmekua kinzan na bacteria.
ndio mkuu HIV tulipima tuko salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ