Maisha ya UPWEKE yamenichosha - Nahitaji Mke

Anayetafutwa hapa Ni business partner, Siyo mke. Huwezi kutafuta mke Muda WA jioni alafu ukajiwekea mipaka ambayo inatia dosari maana ya ndoa (Mume + Mke).
 
1. dawa tumetumia mkuu tulipgwa sindano na dawa tukapewa(doxy, cpro na ingne jina nmesahau)
2. usaha unatoka mda wote nikiangalia kichwa cha penis upo pia bukuta nakuta imechafuka usaha.
Pole sana mkuu, ndo ukubwa wenyewe huo..

Rx
. Azithromycin 2g start
. Injection ceftriaxone ( dilution protocol, 1g powder of ceftriaxone una dilute with 4ml Water for injection kisha unachomwa i/m start.)
 
ahsante sana mkuu. hyo ni sindano moja? Au ntapgwa tano
 
ahsante sana mkuu. hyo ni sindano moja? Au ntapgwa tano
Ni moja tu(start) , but ni ya kwenye misuli(matakoni) , siyo mshipa/vein.. Ila hakikisha formula niliyo kupa hapo juu inafuatwa namna ya uchanganyaji,

Na azuma vidonge 4 navyo ni mara moja tu/start..
 
Nadhani wewe hujielewi na hujui kama hujielewi. Pole sana
 
Nadhani wewe hujielewi na hujui kama hujielewi. Pole sana
kuwa mpole mkuu, umeomba ushauri kubari na utan humohumo, usikasirike kwan utaonekana una IQ ndogo.
umeomba ushauri chambua yanayokufaa sepa kamix nayako
 
kuwa mpole mkuu, umeomba ushauri kubari na utan humohumo, usikasirike kwan utaonekana una IQ ndogo.
umeomba ushauri chambua yanayokufaa sepa kamix nayako
Sijaomba ushuari mkuu, nimeweka tangazo kwa mwanamke mwenye hizo sifa halafu mtu anakuja kuongea unnecessary issues unadhani ni sahihi?

Kama hana hoja ya msingi akae kimyaaa na sio kuleta ujuaji usiokuwa wa msingi.
 
Choma penadur , pole sana
 
Madhara ya upungufu wa nguvu za kiume ndio haya Sasa
 
mwaka jana nilikua kama wewe mkuu lakini mpaka muda huu ninajuta hapa nilipo napanga mbinu ili kuutafuta huo upweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…