Maisha ya UPWEKE yamenichosha - Nahitaji Mke

Ukishajitibu utamrudisha tena? Angalia utakatika kiuno
 
Mkuu nikupeleke pale kitambaa cheupe ukajichukulie
 
Nmecheka sana 😅😅😅!!! Aah watu mnapatana na majanga! Mtu una nia nzuri kumbe mtu ana Gono pole kijana ndo ukubwa usikate tamaa! Ila mabinti wa skuizi mmewafanya wawe malaya sana haya magonjwa sijui kama yataisha
 
Nmecheka sana!!! Aah watu mnapatana na majanga! Mtu una nia nzuri kumbe mtu ana Gono pole kijana ndo ukubwa usikate tamaa! Ila mabinti wa skuizi mmewafanya wawe malaya sana haya magonjwa sijui kama yataisha
yataisha endapo ke na me wakipoz hyo mambo, leo yupo na huyu leo na yule na kutembea kwa umakini.
 
N

NI kweli
Sema sasa maisha saizi kubadilisha wanawake wanaume wameona ni ujanja
huo hata c ujanja bali ni ulimbuken tu wanaume tunao.

Ukisema hisia hapana make hisia znaweza malizwa na mwanamke mmoja na ukaridhika.

Ndo maana umaskin unaongezeka chanzo ni hicho, kutaka kumilik/kula wanawake wote.
Huwez kuta tajir ana wanawake weng sana
 
Mmeongeza mpaka miaka 30 ila mmekuja tena na Degree! Nachoka mimi😅😅 ah
I think you really deserve to be my woman on this planet.

If you 're single and you mean it from your heart, I assure you that you won't regret for me to be your husband and dady father of your kids!

Or if there is any woman who is single and she is really interestd to get a "MAN OF HER OWN", then she should not be afraid to contact me.

I assure that woman won't regret to become a "WOMAN OF MY LIFE".


Warmly welcome.
 
We all deserve a guy like you! Tubebe wote utufute machozi tu😎
 
Tofautisha kati ya kuwa lonely na kuwa alone nipe tofauti hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…