this is one sided story
naogopa kuhukumu bila kusikia upande mwingine
hujatuambia tabia zako wewe labda za kibabe babe,msema ovyo nk
hujatuambia kama unamtreat vipi huyo alokuwa mumeo
mwanaume hawezi kuwa mkorofi,mkali kama mwanammke
anajua wajibu wake na anauchunga vema ulimi wake kuongea ya busara
lakini kama unamnyanyasa kwa maneno na matendo unategemea awe mpole na tabia nzuri?
i think kwa wanawake wa type yako hamwezi kuishi ktk ndoa
na sio kila mwanamke ni wa kuolewa. jiangalie kwanza wewe.
jadilini tofauti zenu kubalianeni kubadilika leeni mtoto pamoja
kila jambo hutokea lkn lina suluhisho.
Lokissa,
Hapo kwenye bold naona umeamua kuandika kana kwamba unanifahamu.
Mimi sina mdomo wa kujibizana, ni mtu cool na sipendi maneno na mtu.
Kwa mfano nimekuja kwako na mtoto asubuhi, nimeandaa breakfast,mmekunywa wote,wewe ukataka kuongeza mkate badala ya kuniambia kwa utaratibu ukanambia tena kwa kibesi "sasa ndo umefanya nini umeleta mikate haitoshi".na maneni hayo umeyasema mbele ya mjomba wako.sikukujibu nikaleta unachotaka tukaendelea.Baada ya hapo ukatoka wewe na huyo mjombayo huku nyuma mie nakukuruka na mwana na kupika pia,mkarudi saa kumi na moja jioni,kwa kuwa mida ya lunch ilishapita na ulinambia uko kwa cousin yako nikakuuliza kama unakula ukasema "we unadhanije?kwani nimekula wapi"? na mie taratibu naenda andaa chakula namkaribisha mjomba wako wewe uko chumbani,mjomba anasema "mbona tumeshakula".mi nabaki na mshangao. wewe unatoka chumbani unakuja jikoni kuangalia chakula kilichobaki tena bila haya unasema "hakikisha unapika cha jioni kabla hujaondoka". Eboo hapo mie ukorofi wangu uko wapi jamani.na hayo ndo maisha ninayoishi na huyu kiumbe kwa miaka mitatu,mimi sina moyo wa chuma jamani haa
hamna shida ya kuishi sigle mother endapo una uwezo wa kutafuta. binafsi nina mabint wa2 fist yupo fm4 na last std3 wanaenjoy life kama kawaida na wanafanya vizuri shuleni. so nina uzoefu wa miaka 15 na life inasonga mbele. usiogope dunia ndivyo ilivyo take it easy
Ndoa haivunjiki? hata itangazwe ndoa mwanamke kama huyu will end up in the same situation!!! ni design ya wale wanawake wa beijing '8'tunaweza" "naweza type"
rate ya single mothers inakua kwa sababu wadada wamekuwa liberated wanasahau nini maana ya mwanaume
this is one sided story
naogopa kuhukumu bila kusikia upande mwingine
hujatuambia tabia zako wewe labda za kibabe babe,msema ovyo nk
hujatuambia kama unamtreat vipi huyo alokuwa mumeo
mwanaume hawezi kuwa mkorofi,mkali kama mwanammke
anajua wajibu wake na anauchunga vema ulimi wake kuongea ya busara
lakini kama unamnyanyasa kwa maneno na matendo unategemea awe mpole na tabia nzuri?
i think kwa wanawake wa type yako hamwezi kuishi ktk ndoa
na sio kila mwanamke ni wa kuolewa. jiangalie kwanza wewe.
jadilini tofauti zenu kubalianeni kubadilika leeni mtoto pamoja
kila jambo hutokea lkn lina suluhisho.
Lokissa,
Hapo kwenye bold naona umeamua kuandika kana kwamba unanifahamu.
Mimi sina mdomo wa kujibizana, ni mtu cool na sipendi maneno na mtu.
Kwa mfano nimekuja kwako na mtoto asubuhi, nimeandaa breakfast,mmekunywa wote,wewe ukataka kuongeza mkate badala ya kuniambia kwa utaratibu ukanambia tena kwa kibesi "sasa ndo umefanya nini umeleta mikate haitoshi".na maneni hayo umeyasema mbele ya mjomba wako.sikukujibu nikaleta unachotaka tukaendelea.Baada ya hapo ukatoka wewe na huyo mjombayo huku nyuma mie nakukuruka na mwana na kupika pia,mkarudi saa kumi na moja jioni,kwa kuwa mida ya lunch ilishapita na ulinambia uko kwa cousin yako nikakuuliza kama unakula ukasema "we unadhanije?kwani nimekula wapi"? na mie taratibu naenda andaa chakula namkaribisha mjomba wako wewe uko chumbani,mjomba anasema "mbona tumeshakula".mi nabaki na mshangao. wewe unatoka chumbani unakuja jikoni kuangalia chakula kilichobaki tena bila haya unasema "hakikisha unapika cha jioni kabla hujaondoka". Eboo hapo mie ukorofi wangu uko wapi jamani.na hayo ndo maisha ninayoishi na huyu kiumbe kwa miaka mitatu,mimi sina moyo wa chuma jamani haa
Asante BD,
Kuhusu kumuhudumia mtoto nitaweza bila kumpeleka ustawi wa jamii,ingawaje itabidi tu nimuhamishe shule mana aliyopo kwa sasa ni expensive kidogo sitoweza kuafford peke yangu. Nitajitahidi kumlea malezi yaliyo bora ila ninapata mawazo mengi sana baadae nitamjibu nini akiniuliza what happened between me and teh daddy, she is only 3 yrs now ila anampenda sana baba yake,tangu nifanye maamuzi haya sasa ni wiki mbili na nimekuwa nikimdanganyadanganya tu sitaki amchukie baba yake. na amekuwa akinitext kuwa ameanza relationship nyingine na blabla kibao mi sijamjibu.
Naomba Mungu anisaidie kwenye hili.Mapenzi yanauma jamani asikwambie mtu,mmh.
Haya noella tupe fidback mmefikia wapi???
Mwendee kwa sangoma akuoe officially...yn mkae miaka yote hyo,dahh