Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii picha inasikitisha sana, viongozi wetu wanatia mashaka mnoo
Wallah hawa lazima wazichoteWatumishi Wizara ya Fedha! Baada ya kuona msaada wa 3.6 trillion!View attachment 1900887
Utasikia dili hiyo ishaingiaWatumishi Wizara ya Fedha! Baada ya kuona msaada wa 3.6 trillion!View attachment 1900887
Lazma wazilambe hizo wakiongozwa na Bwana LamekiUtasikia dili hiyo ishaingia
kuna muda magufuli anakumbukwa sema mbinu zake hazikua sawasawaLazma wazilambe hizo wakiongozwa na Bwana Lameki
Mbinu zake zilikuwa za kikatili sababu aligundua amezungukwa na chui ila alikuwa na nia njema yule mzee. Mtamkumbuka sana aisee mie sikuona baya kama hukuingia anga zake japo kuna mambo aliyakosea kama binadamu!kuna muda magufuli anakumbukwa sema mbinu zake hazikua sawasawa