Niaje wadau leo nimekuja na hii mada na nimechunguza muda mrefu kidogo.
Kwa nn wanafunzi wa chuo baada ya kupata boom huwa na maisha mazuri sana lakini baada ya kuishiwa boom maisha yanakuwa mabovu?
Toa maoni yako mwana jukwaa uwanja ni wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.