S Sammy1961 JF-Expert Member Joined Dec 23, 2019 Posts 300 Reaction score 309 Dec 5, 2020 #1 Niaje wadau leo nimekuja na hii mada na nimechunguza muda mrefu kidogo. Kwa nn wanafunzi wa chuo baada ya kupata boom huwa na maisha mazuri sana lakini baada ya kuishiwa boom maisha yanakuwa mabovu? Toa maoni yako mwana jukwaa uwanja ni wako.
Niaje wadau leo nimekuja na hii mada na nimechunguza muda mrefu kidogo. Kwa nn wanafunzi wa chuo baada ya kupata boom huwa na maisha mazuri sana lakini baada ya kuishiwa boom maisha yanakuwa mabovu? Toa maoni yako mwana jukwaa uwanja ni wako.
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Dec 6, 2020 #2 Hilo pia nalo ni la kuuliza? Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 6, 2020 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Dec 6, 2020 #4 Kunguru wa Manzese said: Hilo pia nalo ni la kuuliza? Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app Click to expand... hahaha jamaa hajui kuuliza swali kabisa
Kunguru wa Manzese said: Hilo pia nalo ni la kuuliza? Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app Click to expand... hahaha jamaa hajui kuuliza swali kabisa
Ernst kipire JF-Expert Member Joined Dec 16, 2019 Posts 286 Reaction score 292 Dec 6, 2020 #5 Yana kua labovu kwasababu hawana boom