Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu kila wakati kuwa, katika hii duniani ambayo imekuwwpo kwa mamilion ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya zaidi ya teknolojia tu.
Yote yanayotokea leo hii hapa duniani, yamo ya kufananayo katika maandiko matakatifu na yamo pia katika hisitoria, hivyo ukiwaa muumini mzuri wa historia, unaweza kuonekana kiona mbali kama alivyo Lissu, na ukiwa muumini mzuri wa maandiko matakatifu, unaweza kuonekana Nabii kama ilivyo kwa Godbless Lema.
Yanayomtokea Mbowe leo hii,yalimtokea Yesu Kristo enzi hizo ambapo tunasoma kuwa alihukumiwa kwaa hila tu za wanadamu pasipo kuwa na kosa lolote.
Historia pia inatueleza watu kama kina Nyerere, Mandela, Gandhi na wengineo waliweza kushitaskiwa kwa makosa ya kutunga na nini ilikuwa hatima ya wapambanaji hao(karibu wote walikuja kuwa maraisi).
Kitu pekee ambacho hakisemwi sana ni nini ilikuwa hatima au maisha ya wale wote waliohusika katika kuwabambikizia watu hawa kesi wakiwemo majaji na mahaklimu waliotumika kuwahukumu.
Hivyo, tukijua maisha ya Polisi, waendeshe mashitaka, majaji na mahaklimu waliotumika kupora haki za watu kama kina Nelson Mandela, nina uhakika tutakuwa tumejua hatima ya maisha ya wote wanaotumika dhidi ya Mbowe leo hii
Kwa misingi huu, maisha ya watesi wa Mbowe hayawezi kuja kuwa tofauti na yale ya watesi wa watu kama Nyerere, Mandela, Gandhi na wengineo pamoja na wale waliotumika kumuhukumu na kumtesa Yesu Kristo.
Walau Pilato alinawa mikono na kutaka dhambi ya kumtesa Yesu(damu yake) isiwe juu yake tofauti na hawa wa leo wanaoishia kujitoa tu huku wakiwa teyari wameshatenda uovu.