Maisha ya wengi wetu humu jukwaani

Kasoro mimi

Mimi niko juu tu na sishuki Tena safari hii Mpaka mbinguni Kwa baba.. Sina pesa sana ila najua ipo siku nitapiga mshindo
 
Tuna maisha magumu lakini ukitukuta humu tunavyokaza mafuvu ..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Hujakosea kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ