Maisha yaenda kwa kasi sana

vibertz

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
2,474
Reaction score
4,726
Misimu kadhaa nyuma zinapokutana Simba na Yanga basi bila shaka Yanga anaenda kuwa underdog wa mchezo. Lakini sasa zama zimebadilika ni rasmi sasa Simba kawa underdog kuanzia msimu ulioisha. Makampuni ya makamaria wanaipa asilimia kubwa ushindi kwa Yanga vs Simba.

Na pia mechi ya leo ya Yanga kapewa asilimia kubwa sana ya kushinda dhidi ya Al Hilal. Yule mwanachama aliyekuwa anatamba na laki tatu yake kuwa ana uhakika Yanga anafungwa leo basi ni wakati wako huu wa kupiga ela. Kuna milioni moja na nusu kwa muhindi kwa laki tatu yako tu.
 

Attachments

  • IMG_20221008_085424.jpg
    82.3 KB · Views: 2
Hili neno underdog ni vema mjuvi afungue tuisheni aekekeze na kufundisha maana yake kwa undani.Matumizi ya hovyo ya lugha.
 
Kwani wewe hutaki hela ? Weka Million 1 upate faida ya laki 6 Kwa hiyo odd ya 1.6 kama unaamini hiyo underdog ni uhakika .
 
Labda kwa uchawi na kuruka ukuta taifa ila yanga hawana mpira wowote wakushangaza watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…