Maisha yamebadilika kipindi cha Xmas chaneli zilikuwa zinaonesha sinema

Maisha yamebadilika kipindi cha Xmas chaneli zilikuwa zinaonesha sinema

Kipindi cha nyuma kabla kuingia internet na matorrent movie zilikuwa zinaoneshwa kwenye chaneli tena kipindi cha xmass.

Leo nimekumba ITV ilivokuwa inarusha sinema ya robocop au superman.

xmass njema
Mimi sitosahau nilivyoambiwa mkiwa na dish la TV nyumbani kwenu basi mtaona sinema za X kwani huko Ulaya hivyo ni vitu vya kawaida sana, yaani baba, mama na watoto mnakaa sebuleni kuangalia watu wakinyanduana
 
Back
Top Bottom