Maisha yamebadilika kipindi cha Xmas chaneli zilikuwa zinaonesha sinema

Waache kutangaza Biko waweke movie 🤣
 
Kipindi cha nyuma kabla kuingia internet na matorrent movie zilikuwa zinaoneshwa kwenye chaneli tena kipindi cha xmass.

Leo nimekumba ITV ilivokuwa inarusha sinema ya robocop au superman.

xmass njema
Mimi sitosahau nilivyoambiwa mkiwa na dish la TV nyumbani kwenu basi mtaona sinema za X kwani huko Ulaya hivyo ni vitu vya kawaida sana, yaani baba, mama na watoto mnakaa sebuleni kuangalia watu wakinyanduana
 
Tukakutana na mahubiri ya T. D. Jakes, Ben Hinn, Joyce Mayor, T. B. Joshua na wengine kibao. Hamna ngono wala zinaa, labda tu vichupi vya kuogelea

Inategemea tu na dish mliloweka, na ukomo wa channel…. tuliwahi kuwa na access hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…