Maisha yamebana

ngomicom

Senior Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
123
Reaction score
19
Mimi si mtaalamu wa uchumi lakini naweza kusoma nyakati, kiukweli umma hauna pesa mifukoni hali ambayo kimsingi inatokana na utekelezaji wa serikali iliyopo madarakani (Maisha yamebana bhana).

Kiukweli bei ya shamba (Eneo) la ekari moja ambalo linauzwa hapa Visiga - Kibaha ambalo ni shilingi 12 M za kitanzania ni ndogo ukifananisha na thamani ya eneo husika kwani lipo eneo karibu na viwandani ( Kwasasa kuna viwanda vikubwa vya GYPSUM, NDONDO N.K.

Katika hali ya kawaida kama uchumi ungekuwa rafiki kwa mikono ya Wananchi eneo hili lingeuzwa kwa zaidi ya Millioni 20 kwani ukizingatia miundo mbinu muhimu ya Umeme na Maji ipo vizuri.
Mpaka mchana huu eneo lilikuwa halijapata mnunuzi, hii inathibitisha kuwa Maisha yamebhana bhana.
 
Arusha kuna nyumba inauzwa mil 80 njiro na hakuna mnunuzi miez kibao sasa wakati bei za kule ni mara mbili au tatu ya hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…