Mnazaa watoto wanini Kama hamna uhakika wa maisha?Wazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku
Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli sijui hela ya chakula huku mwenye nyumba anadai kodi kwakweli ni taabu tupu
Wazee mwenye mchongo wowote wa kuingiza kipato basi tupeane jamani
Njoo tubele zege huku, mpambanaji hachagui vita.Wazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku
Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli sijui hela ya chakula huku mwenye nyumba anadai kodi kwakweli ni taabu tupu
Wazee mwenye mchongo wowote wa kuingiza kipato basi tupeane jamani
Kibaya zaidi huenda na watoto sio wakoKwa nini umejiingiza kwenye jukumu zito la kuwa na familia huku ukijua pato lako halikidhi ? Mama wa watu umemuweka ndani na kiumbe(mtoto) possibly si unawatesa bure ?
Hatari sana mkuu !Ki
Kibaya zaidi huenda na watoto sio wako
Baraka ukiwa na kipato kinachoeleweka kukidhi mahitaji yao, kinyume chake ni mateso tuMkuu familia muda mwingine ni baraka japo mambo yamechenji kwasasa
ππππKi
Kibaya zaidi huenda na watoto sio wako
WENGINE SISI TUNASEMA LAKI SI PESA....NDEMBE NDEMBEE ππ΄Wazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku
Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli sijui hela ya chakula huku mwenye nyumba anadai kodi kwakweli ni taabu tupu
Wazee mwenye mchongo wowote wa kuingiza kipato basi tupeane jamani
ππMkuu usizidishe maumivu