Maisha yamekuwa magumu mtaani

Baraka ukiwa na kipato kinachoeleweka kukidhi mahitaji yao, kinyume chake ni mateso tu
Hiyo ni point kubwa mkuu ila siwezi warudisha tumboni watoto na siwezi kuwakimbia inabidi kupambana
 
Laana ya Magufuli inaendelea kuwatafuna
 
Sina mishe maalumu mi ukiniita kuna kamzigo kaende sehemu nachukua ukisema nioshe gari lako freshi tu ilimradi nipate chakula ya watoto
Tatizo liko hapa kwanini usitafute kitu kimoja ambacho kitabeba utambulisho wako ukifanye hata kama mapato yake ni kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…