Jaribu kuachana naye sasa,anakuua🤭Kwa nini umejiingiza kwenye jukumu zito la kuwa na familia huku ukijua pato lako halikidhi ? Mama wa watu umemuweka ndani na kiumbe(mtoto) possibly si unawatesa bure ?
Wazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku
Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli sijui hela ya chakula huku mwenye nyumba anadai kodi kwakweli ni taabu tupu
Wazee mwenye mchongo wowote wa kuingiza kipato basi tupeane jamani
Nitafute nikupe ishu yenye kuingiza kipato kihalali kwa jasho lako.
Dah mkuu ef tatu au ef30? Mkuu msing'ang'anie mijini nendeni bush PESA ipo mkuu sisi vijana kinacho tuponza nikupenda town life kosa linaanzia hapo.078741****
Dah unapigwa rungu, ukikimbia mshale wa trakoMkuu mbona unamuwekea chumvi kwenye Kidonda!?
Kweli kabisa achana na viuno vya kitambaa cheupe, hizo Malaya zisha kubali kupoteza maisha hazina cha kupoteza TenaP
oint yako ni nzuri mkuu
Pole sana kamanda lakini unapopanbana ukiona unaelemewa unaweza kurudisha majeshi nyumaWazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku
Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli sijui hela ya chakula huku mwenye nyumba anadai kodi kwakweli ni taabu tupu
Wazee mwenye mchongo wowote wa kuingiza kipato basi tupeane jamani
🤣🤣🤣🤣Wabongo hatariKi
Kibaya zaidi huenda na watoto sio wako
Unaogopa nini wewe fyatua in JPM VOICE 😊Yaan kwasasa kusema ukwel mkia nimeufyata na utoa tu pale napojihakikisha nipo kwa mwanamke asie na mayai
Hapana usifanye ivo usipoa kinyume chake unataka kusema utaolewa kitu ambacho sio kizuri mwanaume rijali lazima aoe iyo n kanuni ya kiimani na ki biology pia tusiongeze watu wa ku left ma group kwa kisingizio hawatak kuoaNasiyo bure naxema sitaoa kwa sababu mimi nimezoea kubeti watoto watalala njaa
Upo mkoa gani pambana upate shughuri yoyote ya halali kaka Kila la kheriThanks mkuu barikiwa sana walau nikachukue mihogo sasa
LAKINI hazipo HIZO kazi tubadili kipimoHatari MNO
KAZI ni kipimo cha utu
Jamaa kaomba buku3 na kapewa hiyo buku3 bila ya kutolea. Kwahiyo kapata buku2 ya kula yeye mke na watoto. Nadhani changamoto hiko kwenye fikra!Dah mkuu ef tatu au ef30? Mkuu msing'ang'anie mijini nendeni bush PESA ipo mkuu sisi vijana kinacho tuponza nikupenda town life kosa linaanzia hapo.
Fullstop, kwishaaaa