Maisha yamekuwa magumu sana

Maisha yamekuwa magumu sana

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Wapwa kila kukicha maisha yanazidi kuwa magumu sana
Vitu vimekuwa ghali sana tofauti na siku za nyuma, unajikuta unasema bora ya jana.
Kwa mm nae kula kwa mama ntilie na kunywea bar za vumbi a.k.a uswazi nimenyambulisha kama ifuatavyo;-

[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 295"] Zamani
[/TD]
[TD="width: 295"] Sasa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Chai Rangi Tsh.100/=
[/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.200/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Chapati Tsh. 150/=
[/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.250/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Supu Tsh.800-1500/=
[/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.2000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Mishkaki Tsh. 300/=
[/TD]
[TD="width: 295"] Tsh. 500/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Ugali nyama+mboga mboga Tsh 1000/=
[/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.1500/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Wali nyama+mboga mboga Tsh.1000/=
[/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.1500/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Supu ya Pweza Tsh.800
[/TD]
[TD="width: 295"] Tsh. 1500/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Kuku wa kienyeji robo Tsh.2500/=
[/TD]
[TD="width: 295"] Tsh. 3500/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Soda Tsh.500
[/TD]
[TD="width: 295"] Tsh. 600/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Bia Tsh.1500
[/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.1600/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Kiloba nyagi Tsh. 1000
[/TD]
[TD="width: 295"] Tsh. 1200/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Upande wa malalo
[/TD]
[TD="width: 295"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Guest single Tsh. 5000
[/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.7000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Guest double Tsh. 7000
[/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.10,000/=
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Na zaidi.......
Na zaidi.....
Na mengineyo
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Mshahara utasikia umepanda ukifuatilia wamekuongezea Tsh.12000/=
Hapo waziri kasimisha kucha zake anasoma hotuba eti mishahara imeongezeka.
Na mm sasa nasema nimechoka hii basi sasa naona serikali wanachezea sharubu zetu.
 
Hapa nimesahau mambo mengi ya msingi kama Condom zamani ilikuwa Tsh.100 mpaka 200 sasa hivi tunauziwa Tsh. 500 zile zile
 
mbona bado maisha hayajawa magumu....................subiri miaka mitano ijayo........................hapo kutakuwa na mshikemshike....................unless tuache dhambi vinginevyo hii ardhi itatutapika..........
 
Hapa nakumbuka enzi za Chinga (Mkapa)...
nilikuwa Azania Secondary School. mwaka 2004.
Mihogo ilikuwa sh 20, sasa hivi wadogo zetu wananunua sh 100
Chipsi kavu ilikuwa 600 sasa hivi 1000.
 
Hapa nakumbuka enzi za Chinga (Mkapa)...
nilikuwa Azania Secondary School. mwaka 2004.
Mihogo ilikuwa sh 20, sasa hivi wadogo zetu wananunua sh 100
Chipsi kavu ilikuwa 600 sasa hivi 1000.

Pipi ilikuwa sh.10 sasa hivi sh. 50
Hapa inabidi tujifunge mikanda kwakweli
 
hivi bei ya mtumia mwenza haijapanda? ngoja nikafanye marketing,lol
umenena kweli fidel*), siku hizi ukilinganisha ugumu wa maisha na msimamo wa dola inakua haina tija. Vitu vimepanda bei sana kiasi kwamba ni ngumu kufikia malengo, achia mbali ku-maintain aina ya maisha. Inatisha kwa kweli.
Hapa nimesahau mambo mengi ya msingi kama Condom zamani ilikuwa Tsh.100 mpaka 200 sasa hivi tunauziwa Tsh. 500 zile zile
 
Mambo yanazidi kuwa magumu aheri ya jana na juzi
Huko tuendako kumaintain ile life standard itakuwa haiwezekani tena maana kila kitu kinazidi kuwa bei juu
 
hivi bei ya mtumia mwenza haijapanda? ngoja nikafanye marketing,lol
umenena kweli fidel*), siku hizi ukilinganisha ugumu wa maisha na msimamo wa dola inakua haina tija. Vitu vimepanda bei sana kiasi kwamba ni ngumu kufikia malengo, achia mbali ku-maintain aina ya maisha. Inatisha kwa kweli.

Kufika mwezi wa kumi na mbili dola inaweza fika Tsh.1900/= kwa dola moja.
Sasa hivi ni Tsh. 1726 kwa dola inakimbia sana
 
hivi bei ya mtumia mwenza haijapanda? ngoja nikafanye marketing,lol
umenena kweli fidel*), siku hizi ukilinganisha ugumu wa maisha na msimamo wa dola inakua haina tija. Vitu vimepanda bei sana kiasi kwamba ni ngumu kufikia malengo, achia mbali ku-maintain aina ya maisha. Inatisha kwa kweli.

Rate ya dola leo ni Tsh.1740 yaani inapanda Tsh.10 mwakani tunaweza anza na Tsh. 2000/=
 
Akili za kuambiwa changanya na za kwako..Jakaya Kikwete 2010
 
Wapwa kila kukicha maisha yanazidi kuwa magumu sana
Vitu vimekuwa ghali sana tofauti na siku za nyuma, unajikuta unasema bora ya jana.
Kwa mm nae kula kwa mama ntilie na kunywea bar za vumbi a.k.a uswazi nimenyambulisha kama ifuatavyo;-

[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD] Zamani[/TD]
[TD="width: 295"] Sasa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Chai Rangi Tsh.100/= [/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.200/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Chapati Tsh. 150/= [/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.250/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Supu Tsh.800-1500/= [/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.2000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Mishkaki Tsh. 300/= [/TD]
[TD="width: 295"] Tsh. 500/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Ugali nyama+mboga mboga Tsh 1000/= [/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.1500/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Wali nyama+mboga mboga Tsh.1000/= [/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.1500/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Supu ya Pweza Tsh.800 [/TD]
[TD="width: 295"] Tsh. 1500/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Kuku wa kienyeji robo Tsh.2500/= [/TD]
[TD="width: 295"] Tsh. 3500/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Soda Tsh.500 [/TD]
[TD="width: 295"] Tsh. 600/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Bia Tsh.1500 [/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.1600/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Kiloba nyagi Tsh. 1000 [/TD]
[TD="width: 295"] Tsh. 1200/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Upande wa malalo[/TD]
[TD="width: 295"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Guest single Tsh. 5000 [/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.7000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Guest double Tsh. 7000 [/TD]
[TD="width: 295"] Tsh.10,000/=[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Na zaidi.......
Na zaidi.....
Na mengineyo
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Mshahara utasikia umepanda ukifuatilia wamekuongezea Tsh.12000/=
Hapo waziri kasimisha kucha zake anasoma hotuba eti mishahara imeongezeka.
Na mm sasa nasema nimechoka hii basi sasa naona serikali wanachezea sharubu zetu.
Umenichekesha sana Fidel, hasa bei za Guest. Kweli watu tuna tofautiana. Najaribu kutafuta picha ni wapi huko unapata chumba cha Guest kwa 10,000 double
 
Umenichekesha sana Fidel, hasa bei za Guest. Kweli watu tuna tofautiana. Najaribu kutafuta picha ni wapi huko unapata chumba cha Guest kwa 10,000 double
mimi nilikuwa najiuliza hiyo 10,000 kwa siku au kwa saa? maana mtoa mada hajatuambia kipimo cha bidhaa zake...........................
 
Fidel wewe sema maisha magumu kwako wengine ndugu yangu hayo unayosema magumu wala hawayajui wala kuyaona
 
Yaani we acha tu, huku kijijini kwenyewe hakukaliki.
 
hali ni ngumu kweli; yaani usipokuwa makin waweza gomba na mke ukifikiria amebana pesa ya matumizi.(Kwa tuliooa).........nimepita shoping week hii na ka 50 kangu, hata kikapuchetu hakikufika nusu na nilishazowea kukijaza tufanyapo shopping ya week
 
wakati wewe unahangaika na 50 ijaze kapu wenzio wameachana na vikapu vya gengeni wako bize na vitoroli vya magurudumu kwenye supermarket! wengine wanaendelea na maisha tu wanaungurumisha magari huku na kule, maisha magumu kweli lakini kwa wachache ila kwa walioyajulia aaah wanajilia kiulainiii
 
Halafu bado kuna watu wanageuzwa ATM na kuhonga a lots of money kwa nyumba ndogo tu ilhal nyumbani kwake watoto hawajui nn maana ya kula vizuri,wife mpaka ckk ndo aone wax very sad
 
Back
Top Bottom