Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Septemba 2011 umeongezeka hadi asilimia 16.8 ikilinganishwa na asilimia 14.1 kwa mwaka ulioishia mwezi Agosti 2011.
sources Mawasiliano: Mkurugenzi Mkuu,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu....
i guess mwezi huu itaovershoot mpaka 20% cha moto tutakiona msimu huu wa 2010-2015( ni kama ukame wa makombe kwa aseno na livapuli)
god help pleaseeeeeeeeeeeeeeee....