Maisha yamenishinda. Madeni mengi sana na mengine yanatangazwa. Nimechoka kabisa

Vyama pinzani wametuchelewesha mnoo!!!

Nasema uongo ndugu zangu!!!!

Alisikika Kada Mmoja!! Mtiifu( R I P )
 
Uza tu korodani au dushe lote maana ni hasara tupu kuvibeba huku una madeni mwili mzima
 
Mkuu ungekuwa na hali hiyo ungepata hata bando la kukuweka hewani? acha kabisa kitu kuchacha !!
 
I hope moderators huu uzi hautamaliza masaa 24 mtatusaidia kuufuta maana ndio hizi zinafanya jamii forum inaonekana ni ya watu wasio na hekima siku hizi.

Sasa mtu anaamka anakuja na uzi analalamika utadhani ana shida ya ukweli halafu anaingiza utani katika uzi ambao maudhui yake aliuanza serious.....
 
IST imejinyonga

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…